MAGDALENA ROY ATWAA TAJI LA TOP MODEL REDD'S MISS TANZANIA 2012

Mshindi wa Top Model Redd's Miss Tanzania 2012, Magdalena Roy akiwa katika pozi. Mshindi wa Top Model Redd's ...


Mshindi wa Top Model Redd's Miss Tanzania 2012, Magdalena Roy akiwa katika pozi.
Mshindi wa Top Model Redd's Miss Tanzania 2012, Magdalena Roy (katikati anaepungia mkono) akiwa na washiriki wenzake alioingia nao hatua ya tano bora katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa hoteli ya Naura Springs, Jijini Arusha.
Magdalena Roy (wa kwanza kushoto) wakati wa shindano hilo.

Na Mwandishi Wetu, Arusha
MISS Dar City Center ambaye pia alishika nafasi ya pili katika shindano la Redd’s Miss ilala, Magdalena Roy amefanikiwa kuingia 15 Bora ya Redd’s Miss Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kufanikiwa kutwaa taji la Top Model.
Magdalena anakuwa mshindi wa pili kuingia katika hatua hiyo, akiungana na Miss Mbulu, Lucye Stephano ambaye wiki iliyopita alitwaa taji la Miss Photogenic.
Katika shindano la Top Model lililofanyika kwenye hoteli ya Naura Spring, mjini hapa lilikuwa na upinzani mkali kutoka kwa washiriki wote wa Redd’s Miss Tanzania.
Mbali na Magdalena warembo wengine waliofanikiwa kuingia katika tano bora walikuwa ni Mary Chizi (Ilala), Irene Veda (Lindi), Belinda Mbogo (Dodoma) na Sina Revocatus (Elimu ya Juu).
Akizungumza na Mtandao huu mjini hapa, Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Haidan Ricco amesema warembo hao wataondoka kuelekea Tanga kwa ajili ya kutembelea mapango ya Amboni, kabla ya kurejea Dar es Salaam.
Warembo wapatao 30 wanawania taji la Redd’s Miss Tanzania, ambalo kwa sasa linadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Redd’s Original.
Na globalpublishers
Name

Fasheni Mavazi Miss Tz Mitindo Modo Urembo Viatu
false
ltr
item
PAMBAIKA TZ: MAGDALENA ROY ATWAA TAJI LA TOP MODEL REDD'S MISS TANZANIA 2012
MAGDALENA ROY ATWAA TAJI LA TOP MODEL REDD'S MISS TANZANIA 2012
http://api.ning.com/files/kQk99HF2DrDemA5aV4gfvyn5-KxQVllpi-jiMd60SBvyb2zpr3QkIRLtYT0Bhtob5lYMddR09T5LS-CyDsaw5mpHSolKgjAG/REDDSTOPMODEL20121.JPG
PAMBAIKA TZ
https://pambaikatz.blogspot.com/2014/11/magdalena-roy-atwaa-taji-la-top-model.html
https://pambaikatz.blogspot.com/
http://pambaikatz.blogspot.com/
http://pambaikatz.blogspot.com/2014/11/magdalena-roy-atwaa-taji-la-top-model.html
true
5133514619242769278
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy