MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE KUJULIKANA MEI 5 NDANI YA HOTELI YA KITALII YA NAURA SPRINGS‏

Washiriki wa kitongoji Kanda ya kaskazini,Miss Arusha City Center 2012, wakiwa katika picha ya pamoja,tayari kuchuana vikal...


Washiriki wa kitongoji Kanda ya kaskazini,Miss Arusha City Center 2012, wakiwa katika picha ya pamoja,tayari kuchuana vikali Mei 5 2012 ndani ya hoteli ya Kitalii,Naura Springs Hotel iliyopo kati kati ya jiji la Arusha.katika shindano hilo kiingilio kimepangwa kuwa ni kwa viti maalum ni sh.25,000/= na kwa viti vya kawaida ni sh 15,000/=
Align Center
Washiriki wa Miss Arusha City Center 2012 wakiwa kwenye mafunzo ya vitendo yatolewayo na chuo cha Udereva na Ufundi,Modern Driving School,ambao pia ni moja ya wadhamini wa shindano hilo.
Washiriki wa Miss Arusha City Center 2012 wakiwa darasani kwenye mafunzo ya nadharia yatolewayo na chuo cha Udereva na Ufundi,Modern Driving School,ambao pia ni moja ya wadhamini wa shindano hilo.
Mashindano ya Ulimbwende ngazi ya kitongoji Kanda ya kaskazini,Miss Arusha City Center 2012,yanatarajiwa kufanyika Mei 5 2012 ndani ya hoteli ya Kitalii,Naura Springs Hotel iliyopo kati kati ya jiji la Arusha.
Akizungumza leo jijini Arusha,Mratibu wa shindano hilo Bi Upendo Simwita kutoka kampuni ya Tour Visual Entertainment ambao ndio waandaji wa shindano hilo,amebainisha kuwa mpaka sasa maandalizi yao yanakwenda vizuri na kila kitu kimekwisha kamililka ikiwemo sambamba na kuwapata warembo ambao mpaka sasa wametimia 20.
Bi Upendo Simwita amesema kuwa wameishakamilisha mchakato wa kuwapata Warembo wenye mvuto na wenye vigezo stahiki,anaongeza kuwa warembo hao wenye ari kubwa ya ushindani,kama waandaji watahakikisha muwakilishi wa Miss Tanzania 2012 anatokea kwenye kitongoji hicho.
“Shindano hilo litakalokuwa la tofauti kubwa na miaka ya nyuma litawakutanisha walimbwende wapatao 20,ambao watachuana vikali jukwaani, na hatimaye kumpata Mshindi wa Miss Arusha City Center”,alisema Upendo.Amesema kuwa kiingilia katika shindano hilo kimepangwa kuwa ni kwa viti Maalum sh 25,000/= na kwa viti vya kawaida sh.15,000/=. Fanya booking yako ya tiketi mapema kupitia namba – 0755975454 au 0713681059.

Kwa upande wa Burudani,Upendo amesema kuwa kutakuwepo na Msanii mahiri wa Muziki wa kizazi kipya aitwaye Sam wa Ukweli,Muziki wa Asili,Live Band ya Watoto wa Simba pamoja na burudani nyingine mbalimbali zitakazotolewa na walimbwende wenyewe siku hiyo.
Upendo amewataja wadhamini wa shindano hilo kuwa ni REDD’S ORIGINAL,NAURA SPRINGS HOTEL,CLOUDS FM / CLOUDS TV AND MAWINGU CLUB – ARUSHA,BG HORIZON, MODERN DRIVING SCHOOL,MAKO ADVENTURE,SEBE & BEKI FOR LIFE, MWANDAGO INVESTMENT,S.G. RESORT,MEJA LINK LTD,GEO SECURITY,GOLDEN ROSE HOTEL,RIVERSIDE SHUTTLE SERVICES,ARUSHA TRAVEL LODGE,LITTLE ROSES, LA BELLA VISTA,WAKIPAMBWA NA JANETH BEAUTY PAURLOR NA BI. HADIJA HASSAN.
Ahmad Issa Michuzi
P.O BOX 4156,
DAR ES SALAAM.
www.michuzijr.blogspot.com
Phone:0713 422 313/ 0783 422 313
Tanzania- East Africa.
Name

Fasheni Mavazi Miss Tz Mitindo Modo Urembo Viatu
false
ltr
item
PAMBAIKA TZ: MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE KUJULIKANA MEI 5 NDANI YA HOTELI YA KITALII YA NAURA SPRINGS‏
MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE KUJULIKANA MEI 5 NDANI YA HOTELI YA KITALII YA NAURA SPRINGS‏
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhba_nTQgKMHg6a5l_wcgaN6x2zn2azy9DzOyIB9NwNi3kWdfxkwRvvcc7svl03HovILHlSA0qiT5V5QEt6ZNrzVwaMAi5Q2kIn0IleuRmKsCrhUrGQ-fXvetEqDQ1I2dHzcR9IE1AUC00/s400/IMG_5338.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhba_nTQgKMHg6a5l_wcgaN6x2zn2azy9DzOyIB9NwNi3kWdfxkwRvvcc7svl03HovILHlSA0qiT5V5QEt6ZNrzVwaMAi5Q2kIn0IleuRmKsCrhUrGQ-fXvetEqDQ1I2dHzcR9IE1AUC00/s72-c/IMG_5338.JPG
PAMBAIKA TZ
https://pambaikatz.blogspot.com/2014/11/miss-redds-arusha-city-centre.html
https://pambaikatz.blogspot.com/
http://pambaikatz.blogspot.com/
http://pambaikatz.blogspot.com/2014/11/miss-redds-arusha-city-centre.html
true
5133514619242769278
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy