Lilian Maleo Jacqline Mwanicheta Elizabeth Tarimo Virginia Mokiri Mariana Kundya Janeth Madama Lilia...
Lilian Maleo
Jacqline Mwanicheta
Elizabeth Tarimo
Virginia Mokiri
Mariana Kundya
Janeth Madama
Lilian Lavian
Jennifer Mafuru
Belinda Mbogo
Tatu Mohamed


Washiriki
wa Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012, wakiwa katika picha ya
pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo katika Ukumbi wa NK Club
mjini Dodoma leo. Warembo hawa watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania
taji hilo.
---
Warembo
11 wa Redds Miss Higher Learning Dodoma wanataraji kupanda Jukwaani
May 18,2012 katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma kuwania taji hilo
kwa mwaka huu.
Show
hiyo inataraji kuzindikizwa na Mwimbaji bora wa Kiume wa Tuzo za Kili
Music Award 2012, Barnaba kutoka kundi la THT ambaye kwa sasa anawika
na wimbo wake wa Magubegube.
Shindano
hilo mbali na kudhaminiwa na REDDS, pia limepata udhamini wa Nokia,
Star Time, Nina’s Fashion, Shabby Bus, Clouds FM, African Dream, Club
84, Radio Kifimbo, Salama Salon, Jambo Leo, Mapouder Cosmetics, Emage
For You, Salome Boutiq, Dicentman Blog, Joseph Lukaza Blog, na Café
La’Tino.